Posts

Showing posts from June, 2017
(Sung in Swahili) Pre-Song Halleluya, Ndugu yangu Biblia inasema  (Haleluja, My brother the Bible says ) waabudio wa halisi watamwabudu Bwana ( Those who worship the Lord) katika roho na kwa kweli  ( will do so in spirit and in truth) Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako,  (At this moment – if you are in your car) ukiwa ndani ya basi unasafiri, ( In a bus travelling ) ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako  ( or in your office working ) Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana ( Join me to lift the Lord  ) tumwambie unastahili uko mwenye nguvu  ( and tell him He deserves it he is mighty) Ukiwa uliamka asubuhi ( If you woke up this morning ) na haukumwambia kitu Mungu,  ( and you didn’t tell God anything ) ni wakati wa kumwambia Bwana: ( This is the time to tell Him  ) Utukuzwe, uinuliwe  ( “You are praiseworthy, be lifted up”) Tujiunge pamoja kwa wakati huu ( Join me now in telling God ) tumwambie Bwana “Wastahili”  ( “You deserve [...

Sitarudi helen

(Sung in Swahili) Refrain: Sitarudi kuwa vile  (I shall not rever) Kwa uwezo wake roho  (With the Holy Spirit’s might) Mimi nakataa kudharauliwa  (I refuse to be despised) Nakataa maisha ya chini x2  (I refuse poverty) Kwani Baba amenikumbuka  (Because Father has remembered me) Baba amenikumbuka  (Father has remembered me) Mimi ni mbarikiwa x3  (I am blessed) Huu ni mwaka wa Bwana  (This is the year of the Lord) Amenitendea mengi  (He has done many things for me) Na hisi moyoni mwangu  (I feel in my heart) Bwana amenikumbuka  (That the Lord has remembered me) Mwaka jana niliteseka  (Last year I suffered) Sitarudi pale tena  (I shall not return there again) (Repeat) (Refrain) Ewe baba/ndugu umeteseka  (You dad/brother you’ve suffered) Huu ni mwaka wa Bwana  (This is the year of the Lord) Baba amekukumbuka  (Father has remembered you) Hakuna mateso tena  (No more suffering) Ya kale yamepita...

Napokea kwako shusho

(Sung in Swahili) Maisha magumu sana nimepitia  ( I’ve passed through struggles in life) Nikajaribu kutafuta msaada sikupata  (I looked in vain for help) Nikaendea wanadamu mwisho wakanidharau ( I asked people until they despised me) Kumbe msaada wa mwanadamu unatoka kwa Mungu (But our help is from God) Nilijua ya kuwa wenye haki ya kubarikiwa ( I thought the righteous will be blessed) Kumbe baraka ni haki ya kila mmoja (But blessings is everyone’s right) Nibebadili wazo langu namwelekea Mungu (My thoughts have changed towards Him) Kwake msaada wangu unapatikana ( There my help will be found) Msaada wa mwanadamu ni wa muda mfupi (Man’s help is only for a short tim) Nami zamu yangu wa kubarikiwa ee ( It’s my turn to be fully blessed) Chorus: Wakati huu wa kubarikiwa  ( This is the time of blessings) Zamu ni yangu, sasa kupokea ( It is my turn to receive blessings) Nimechoshwa, na shida za dunia  ( I am tired of the world’s troubles) Napokea kwako, Ee Bwana kwako x2...

Uliniumba niseme angela

(Sung in Swahili) Refrain: Uliniumba nikuabudu  (You created me to worship you) Kwa ajili yako mimi naishi  (Because of you I’m alive) Pasipo wewe singekuwepo  (Without you I would not be here) Mimi ni kazi ya mikono yako  (I am the work of your hands) Baba ninaona nikuabudu  (Father I prefer to worship you) Maana matendo yako ni mengi sana  (Because your works are many) Ishara zako Baba ni nyingi mno  (Your signs are many) Maana wewe ndiye Mungu wangu  (Because you are my God) Uliniumba niseme matendo yako  (You created me to tell of your actions) Wewe ndiwe Mungu wa miungu  (You are the God of gods) Wewe kimbilio letu na ngome yet  (You are our fortress and help) Hakuna aliye kama wewe  (There is no one like you) Maneno ya kusema yananikosa  (  I am lost for words ) Maana matendo yako ni ya ajabu  (Because your works are wondergul) Maana ishara zako ni nyingi   (Because your signs are many) ...

Ni kwanini ambassador of Christ

Sung in Swahili) Refrain: Ni kwanini umeyaruhusu,  (Why have you permitted) Ee Mungu mwenyezi  (Oh God Almighty) Yatusononeshe moyoni  (For our hearts to be troubled) Kwanini unaruhusu  (Why have you permitted it?) Ona haya machozi; Tazama tunavyolia  (Look at these tears; how we weep) Twajiuliza sana Bwana  (We ask ourselves Lord) Ni kwanini uliyaruhusu  (Why you permitted it) Nikumbukapo usiku huo  (When I remember that night) Usiku wa huzuni nyingi  (A night filled with sorrow) Ulipokubali Bwana kwamba  (When you permitted Lord) Wenzetu wapumzike  (That our friends should rest) Najiuliza moyoni,  (I ask in my heart) Kwanini Bwana Mwenyezi  (Why, Oh God almighty) umeruhusu tusononeshwe kiasi  (You’ve allowed us to suffer thus?) (Refrain) Mlipuko ni ghafla  (An explosion is sudden) Tulipovamiwa na mauti  (When we were invaded by death) Bwana ulimruhusu ndugu Gautane  (Lord you allowed Gautane...

Umenifanya ning’are shusho

(Sung in Swahili) Refrain: Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are  (You make me shine) Umenifanya ning’are, Yesu  (Jesus You make me shine) (Repeat) Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu  (You are called the light of men) Ukiingia kwangu, mi nang’ara  (I shine when you are in me) Ndani ya hiyo nuru, eti kuna uzima  (There is life in that light) Ukiingia kwangu, nina uzima  (I live when you are in me) Uso wake Yesu, sura yake Mungu  (The face of Jesus, the face of God) Umeingia kwangu, mi nang’ara  (I shine when You are in me) NUru ya injili, utukufu wake Kristo  (The light of the Gospel, the Glory of Jesus) Umeingia kwangu, mi nang’ara  (You are in me, and so I shine) (Refrain) Iinuka uangaze we, nuru yako umekuja  (Rise and shine, your light is here) Utukufu wa Bwana, umekuzukia  (The glory of the Lord is upon you) Mataifa watakujia, wafalme watakuja  (Kings and nations will come) Utukufu wa Bwana, umukuzukia we...

Unikumbuke shusho

Unikumbuke Baba,  (Father remember me) Unapowazuru wengine naomba unikumbuke (When you visit others I pray – remember me) Usinipite Yesu  (Do not pass me by Jesus) Unapowazuru wengine naomba unikumbuke (When you visit others I pray – remember me) Unikumbuke  (Remember me)  x2 Yesu naomba unikumbuke  (Jesus I pray, remember me) (Repeat) Usinipite  (Do not pass me by)  x2 Yesu naomba unikumbuke  (Jesus I pray, remember me) (Repeat) Mnyonge mimi dhaifu mimi, unikumbuke (The weak and wretched me, remember me) Na mama utaka kunyonyesha, umkumbuke (The barren mother yearning for children, remember her) Ona huyo asiye na kazi, mkumbuke (The one without a job, remember him) Lazima na wajane wanalia, uwakumbuke (The grieving widows, remember them) Kijana huyo ataka mwenzi, umkumbuke (The youth who wants to marry, remember him) Na mwingine huyu ataka elimu, umkumbuke (And the one yearning for education, remember them) Umasikini sasa ndio wimbo, utukumb...

Napenda shusho

(Sung in Swahili) Napenda nione ukinitendea  (I love seeing your work in me) Napenda nione ukininbariki  (I love seeing your blessings on me) Napenda nione ukiniinua  (I love seeing the way you lift me up) Kila kitu kwako mimi napenda  (I love everything that is yours) Napenda nione ukiniponya  (I love seeing your healing on me) Napenda nione ukinifariji  (I love seeing your comfort) Napenda nione ukiniinua  (I love seeing you lifting me up) Kila kitu kwako Bwana mimi napenda  (I love everything from you) (repeat) Chorus: Napenda napenda, kila kitu kwako mimi napenda (I love, I love, everything that is yours) Napenda O napenda, Kila kitokacho kwako mimi napenda (I love, I love, I love everything that is from you) Yesu we napenda, mambo yako napenda (Jesus I love everything that is yours) (Chorus) Napenda neno lako  (I love your word) Napenda hekima zako  (I love your wisdom) Napenda sifa zako Yesu  (I love your praises J...

Upendo was yesu upendo nkone

Image
(Sung in Swahili) Refrain: Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka (Like the ocean waves, the Love of Jesus surrounds me) Huku na huku  (Here and there) Kila ninapoimba  (Everytime I sing) Niwapo nimelala  (When I’m asleep) Ninapo tembea  (When I’m walking) Hata nikiwa nakula  (When I’m eating) Niwapo safarini  (When I’m travelling) Nikiwa masomoni  (On my studies) Speaking: Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu (Everywhere we go we are surrounded by the power of God)  Na kila tunalofanya ambalo ni kwa ajili ya utukufu wa jina lake (And in everything we do for his glory) Tumezungukwa na upendo wake (We are surrounded by his love) Huku na huku na kule na hapo  (Here and there) Anitegulia mtego wa muovu  (He removes the deceivers stumbling blocks) Ninalindwa kuliko wakuu wa dunia  (I’m protected better than men of the world) Hata nikiwa pekee yangu  (Even when I’m by myself) Na nikiwa nyumbani kwangu...

Yahwe Uhimidiwe Angela chimbalonza

(Sung in Swahili) Chorus: Yahwe Uhimidiwe,  (Yahweh be praised) uaminifu wako umejulikana  (Your faithfulness is known) Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh  (By all the nations, Yahweh) Yahwe Uhimidiwe,  (Yahweh be praised) uaminifu wako umejulikana  (Your faithfulness is known) Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh  (By all the nations, Yahweh) Verse 1: Uliumba lakini haukumbwa,  (You created, but you were not created) Jina lako jemedari, ninakuinua (You are the General, I lift you up) Jina lako mkombozi, ninakupenda (You are the savior, I love you) Umefuta jina langu kwenye hukumu (You have erased my name from the judgement) Umefuta jina langu kwenye laana  (You have erased my name from the curse) Ndio maana ninakuina Mungu wangu ee( That is why I raise you up my God) Kwa sababu siko tena chini ya dhambi ee (Because I am no longer under sin) (Chorus) Verse 2: Kama si wewe Yesu ningeitwa nani? (If not for you Jesus, what would my name ...