Posts

Showing posts from February, 2018

Christina Shusho – Akutendee Nini Lyrics

Halleluyah Yesu ni Bwana na wala hana mpinzani … Still alive! Wataka akutendee nini? Akutendee nini wee (x2) Neno moja nalitaka kwa bwana nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Ghala lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo Akutendee nini wee Wengine wanataka kuwa raisi wa nchi wengine wataka ubunge Nawe akutendee nini wee Mwengine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke Wataka akutendee nini wee Mama huyu ombi lake apate mtoto mwengine apate elimu Wataka akutendee nini wee mwambie mwambie mwambieee Wataka akutendee nini (mwambie) Akutendee nini wee (anasikia mwambiee) (x2) Wataka akutundee nini (atajibu mwambie) akutendee nini wee Nakumbuka mgonjwa birikani myaka thelathini na nane Alikuwa hajiwezi yeyee Yesu akatembelea birika lile akamuona mgonjwa yule Mara akaanza sababu zake (Malaika akifika anaingia kisimani anatibua maji na mimi nakua wa mwisho) Hee wataka akutendee nini wee Yesu akasema neno moja lishike godoro lako na uende uendee mara akaw...