Shusho bwana umenichunguza lyrics

Eeh bwana umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwaangu Umelifahamua wazo langu, tokea mbali.. Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwaangu Umeelewaa na njia zaangu zoote eeeh ×2 Maana hamna neno lingine mwamgu, usilojua kabisa bwana Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mi- mimi Hayadhirikiki siwezi kuyafikia ×2 Niende wapi nijiepushe na roho yako Niende wapi niukimbie uso wako ooh Kama ningepanda mbiguni, wewe uko ooh Ningefanya kuzimu,giza na uko nako uko ooh Kama nikisema litagiza litanifunikaa, giza nalo haliko lifichi kitu Giza na mwanga kwako ni sawa sawaa Eeh mungu unichunguze, ujue moyo wangu eeh mungu Unijaribu uyajue mawazo yangu eeh mungu eeh mungu Uone kama niko njia iletayo, majuto ndani yangu eeh mungu Ukaniongoze katika njia ya haki milele Maana wewe ndiwe uliyeniumba, mtima wangu eeh mungu Macho yako yaliniona kabla sijakamilika eeh mungu Nimekuita uisikie sauti yangu eeh mungu Eeh mungu unichunguze ujue moyo wangu eeh mungu Unijaribu uyajue mawazo yangu eeh mungu eeh mungu Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo Yapate kibali mbele zako eeh mungu eeh mungu ×3

Comments

Popular posts from this blog

Shusho wakuabudiwa lyrics

Ahadi Zake (His Promises) by Marion Shako

Yahwe Uhimidiwe Angela chimbalonza