Umeniandalia Meza lyrics by Marion Shako

Umeniandalia Meza lyrics by Marion Shako




Verse 1:
Bwana mchungaji wangu, sitapungukiwa
katika malisho ya majani, mabichi hunilaza
Kwa maji matulivu, yeye huniongoza
Kwa uvuli wa mauti, sitaogopa kamwe
Chorus:
Umeniandalia, meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu, Bwana huniongoza
Huisha nafsi yangu, katika njia za haki
Kwa ajili ya jina lako, wewe upo nami
Verse 2:
Nimekukimbilia, Baba Mungu wangu
Nisiaibike, mbele za watesi wangu
Wewe upo nami, gongo na fimbo yako
vyanifariji Baba, Sitaogopa kamwe
(Chorus)
Verse 3:
Umenipaka mafuta, kichwani mwangu
Kikombe kinafurika, machoni pa watesi wangu
Wema nazo fadhili, zitanifuata
Siku zote za maisha yangu, nyumbani mwako milel

Comments

Popular posts from this blog

Shusho wakuabudiwa lyrics

Ahadi Zake (His Promises) by Marion Shako

Shusho bwana umenichunguza lyrics