Shusho ongoza lyrics
Hatua za mwenye haki, za ongozwa naye bwana
Na bwana hufurahia njia zake wakati wote ×2
Nakukabidhi bwana, njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana utafanya
Ata nijapo jikwaa, sitaanguka chini Bwana utanishika mkono na kunitengeneza ×2
Umwangazie mtumishi wako, uso wako
Maana ninayatamani, maagizo yako
Elekeza hatua zangu, kwa neno lako
Uovu usije ukanimiliki ×2
Eeh bwana naomba
Ongoza hatua zangu eeh bwana
Eeh bwana ongoza mwendo wangu
Eeh bwana eeh bwana ×9
Comments
Post a Comment