Shusho ushirika na roho lyrics

Mimi nataka ushirika na wee ewe roho Mimi nataka ushirika na wee roho ×5 Nimekubali habari hizi, ya kuwa wewe ni muungu roho nataka ushirika na wee Ulikuwepo tokea mwanzo, ulishiriki kuniumba roho eeh roho wee nataka ushirika na wee Nakuhutaji maishani, unihifadhi moyo wangu roho eeh roho wee nataka ushirika na wee   (CHORUS) Wayachukua maombi yetu,watuombea kwa kuwa roho eeh roho wee nataka ushirika na wee Ukiwa nasi, twatiwa nguvu twatenda kazi kwa ujasiri roho eeh roho wee nataka ushirika na wee Uyatawale maisha yangu, sitaogopa ukiwa nami roho eeh roho wee nataka ushirika na wee   (CHORUS) Wewe mungu uliye hai, tena roho wa kweli, wewe kiongozi nataka ushirika na wee Wewe mafuta ya shangwee, tena arabu ni yetu roho wa milele nataka ushirika na wee Wewe roho msaidizi, tena mshauri wetu wewe kidole cha mungu nataka ushirika na wee

Comments

Popular posts from this blog

Shusho wakuabudiwa lyrics

Ahadi Zake (His Promises) by Marion Shako

Yahwe Uhimidiwe Angela chimbalonza