Posts

Shusho wakuabudiwa lyrics

  Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe mungu Wakupewa sifa, na utukufu ni wewe mungu Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote Hakuna mwingine, wakulinganishwa na wewe mungu ×2 Umesema wewe, jina lako liko na liko niwe mungu  Unafanya mambo, yaliyo juu ya fahamu zetu mungu Ukisema ndio, nani awezaye kupinga hakuna Wewe unatupa, kushinda na zaidi ya kushinda Unatupandisha,utukufu hadi utukufu mungu ×2   Uzima wetu, uko miikononi mwako mungu Unawapa nguvu, wanyonge na wadhaifu mungu Unawanyeshea mvua wema nao waovu mungu Mwanadamu nani, wakulinganishwa na wewe mungu Nani mwenye nguvu, wa kusimama mbele yako mungu ×2   Bwana utukufu wako singuse, mbali utukufu ukurudie wewe mungu  wangu

Shusho ushirika na roho lyrics

Mimi nataka ushirika na wee ewe roho Mimi nataka ushirika na wee roho ×5 Nimekubali habari hizi, ya kuwa wewe ni muungu roho nataka ushirika na wee Ulikuwepo tokea mwanzo, ulishiriki kuniumba roho eeh roho wee nataka ushirika na wee Nakuhutaji maishani, unihifadhi moyo wangu roho eeh roho wee nataka ushirika na wee   (CHORUS) Wayachukua maombi yetu,watuombea kwa kuwa roho eeh roho wee nataka ushirika na wee Ukiwa nasi, twatiwa nguvu twatenda kazi kwa ujasiri roho eeh roho wee nataka ushirika na wee Uyatawale maisha yangu, sitaogopa ukiwa nami roho eeh roho wee nataka ushirika na wee   (CHORUS) Wewe mungu uliye hai, tena roho wa kweli, wewe kiongozi nataka ushirika na wee Wewe mafuta ya shangwee, tena arabu ni yetu roho wa milele nataka ushirika na wee Wewe roho msaidizi, tena mshauri wetu wewe kidole cha mungu nataka ushirika na wee

Shusho ongoza lyrics

Hatua za mwenye haki, za ongozwa naye bwana Na bwana hufurahia njia zake wakati wote ×2 Nakukabidhi bwana, njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana utafanya Ata nijapo jikwaa, sitaanguka chini Bwana utanishika mkono na kunitengeneza ×2 Umwangazie mtumishi wako, uso wako Maana ninayatamani, maagizo yako Elekeza hatua zangu, kwa neno lako Uovu usije ukanimiliki ×2 Eeh bwana naomba Ongoza hatua zangu eeh bwana Eeh bwana ongoza mwendo wangu Eeh bwana eeh bwana ×9

Shusho bwana umenichunguza lyrics

Eeh bwana umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwaangu Umelifahamua wazo langu, tokea mbali.. Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwaangu Umeelewaa na njia zaangu zoote eeeh ×2 Maana hamna neno lingine mwamgu, usilojua kabisa bwana Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mi- mimi Hayadhirikiki siwezi kuyafikia ×2 Niende wapi nijiepushe na roho yako Niende wapi niukimbie uso wako ooh Kama ningepanda mbiguni, wewe uko ooh Ningefanya kuzimu,giza na uko nako uko ooh Kama nikisema litagiza litanifunikaa, giza nalo haliko lifichi kitu Giza na mwanga kwako ni sawa sawaa Eeh mungu unichunguze, ujue moyo wangu eeh mungu Unijaribu uyajue mawazo yangu eeh mungu eeh mungu Uone kama niko njia iletayo, majuto ndani yangu eeh mungu Ukaniongoze katika njia ya haki milele Maana wewe ndiwe uliyeniumba, mtima wangu eeh mungu Macho yako yaliniona kabla sijakamilika eeh mungu Nimekuita uisikie sauti yangu eeh mungu Eeh mungu uni...

Kambua bado nasimama lyrics

Bado nasimama, bado naendelea Bado najikaza nifike kulee ×2 Bila neema na rehema zako, ningekuwa wapi mimi Bila upendo na fadhili zako, maisha yangu yangekuwa bure  Kwa wema wako kanisimamisha na imani yangu ukaiweka salamaa Kama si wewe mwamba wa wokovu wangu Nisingeweza ningeangamia   Nainua macho yangu, kwako ewe baba yangu Msaada wangu utatoka wapi, msaada wangu u katika bwana Asinzii, anilindae aniachi mimi nitelezee uuuhh Anipa nguvu na uwezo wake ili mimi nifike kule Nifike kuleee....

Christina Shusho – Akutendee Nini Lyrics

Halleluyah Yesu ni Bwana na wala hana mpinzani … Still alive! Wataka akutendee nini? Akutendee nini wee (x2) Neno moja nalitaka kwa bwana nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Ghala lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo Akutendee nini wee Wengine wanataka kuwa raisi wa nchi wengine wataka ubunge Nawe akutendee nini wee Mwengine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke Wataka akutendee nini wee Mama huyu ombi lake apate mtoto mwengine apate elimu Wataka akutendee nini wee mwambie mwambie mwambieee Wataka akutendee nini (mwambie) Akutendee nini wee (anasikia mwambiee) (x2) Wataka akutundee nini (atajibu mwambie) akutendee nini wee Nakumbuka mgonjwa birikani myaka thelathini na nane Alikuwa hajiwezi yeyee Yesu akatembelea birika lile akamuona mgonjwa yule Mara akaanza sababu zake (Malaika akifika anaingia kisimani anatibua maji na mimi nakua wa mwisho) Hee wataka akutendee nini wee Yesu akasema neno moja lishike godoro lako na uende uendee mara akaw...
(Sung in Swahili) Pre-Song Halleluya, Ndugu yangu Biblia inasema  (Haleluja, My brother the Bible says ) waabudio wa halisi watamwabudu Bwana ( Those who worship the Lord) katika roho na kwa kweli  ( will do so in spirit and in truth) Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako,  (At this moment – if you are in your car) ukiwa ndani ya basi unasafiri, ( In a bus travelling ) ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako  ( or in your office working ) Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana ( Join me to lift the Lord  ) tumwambie unastahili uko mwenye nguvu  ( and tell him He deserves it he is mighty) Ukiwa uliamka asubuhi ( If you woke up this morning ) na haukumwambia kitu Mungu,  ( and you didn’t tell God anything ) ni wakati wa kumwambia Bwana: ( This is the time to tell Him  ) Utukuzwe, uinuliwe  ( “You are praiseworthy, be lifted up”) Tujiunge pamoja kwa wakati huu ( Join me now in telling God ) tumwambie Bwana “Wastahili”  ( “You deserve [...